Huduma ya Maabara ya kiwango cha hali ya juu inatolewa kutoka kwa wataalamu wetu wazoefu katika kuhakikisha huduma bora inatolewa kwa wagonjwa wenue matatizo mbalimbali
Huhuria Kikao Mtandao kwa Urahisi kwa Kubonyeza Kitufe Hapo chini
Jiunge Sasa
Hospitali ya Jiji Arusha ilianzishwa na kuzinduliwa mnamo Tarehe 17 Oktoba, 2021 na Mhe. Rais Samia S. Hassan, ikiwa ni agizo la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania katika kuimarisha ufanisi na zoezi zima la utoaji wa huduma za afya ndani ya Halmashauri ya Jiji Arusha.
Hospitali ya Jiji Arusha ilianzishwa kwa lengo la kuhakikisha utoaji wa huduma za afya ya uzazi, magonjwa ya kuambukizwa na yasiyo ya kuambukizwa yanadhibitiwa na kuzuiwa katika kiwango kikubwa cha utaalamu wa huduma za afya
MAONO
Maono yetu ni kuboresha upatikanaji wa huduma za Afya katika jamii ndani ya Mkoa wa Arusha
MALENGO
Pia, Malengo yetu ni kuhakikisha na kuifanyia kazi mikakati yote iliyowekwa katika kuhakikisha ufanisi wa huduma za Afya
Pia, Hospitali ya Jiji Arusha inatoa huduma kwa wakazi zaidi ya 1000 ndani na nje ya Halmashauri ya Jiji la Arusha katika aina mbalimbali za huduma zikiwemo Wagonjwa wa Nje (OPD), Wagonjwa wa Ndani (IPD), Meno, Macho, Mionzi, Huduma ya Uzazi, Huduma ya Upasuaji, Maabara, Uzazi wa Mpango, Huduma Rafiki kwa Vijana, Huduma ya Mama na Mtoto pamoja na huduma ya Famasi kwa wagonjwa wa malipo ya papo hapo na wa msamaha.
HudumaVitanda
Huduma za Uchunguzi
Huduma za ENT
Huduma Kabla ya Kujifungua
|
Kitengo / Mwaka
|
2021 (Wagonjwa)
|
2022 (Wagonjwa)
|
2023 (Wagonjwa)
|
2024 (Wagonjwa)
|
| Huduma za ENT | 1483+ | 3831+ | 3881+ | 964+ |
| Gaenacological | 9887+ | 20828+ | 29016+ | 7859+ |
| Caesarean | 174+ | 1148+ | 1653+ | 410+ |
Miongoni mwa Huduma zinazopatikana ni pamoja na zifuatazo
Huduma ya Maabara ya kiwango cha hali ya juu inatolewa kutoka kwa wataalamu wetu wazoefu katika kuhakikisha huduma bora inatolewa kwa wagonjwa wenue matatizo mbalimbali
Pia, Huduma ya Kupima inapatikana ndani ya hospitali ya jiji Arusha kutoka kwa wataalamu wetu wabobezi. Hivyo, ufanisi wa huduma kwa wagonjwa wetu unapatikana
Pia, Huduma ya Meno inapatikana ndani ya Hospitali ya Jiji Arusha kwa kuzingatiwa kiwango cha hali ya juu kwa kutumia vifaa vyenye kiwango cha hali ya juu
Wagonjwa wanapata pia huduma ya Upasuaji ya kiwango cha ubora wa hali ya juu. Hivyo Wataalamu wetu wanahakikisha katika utoaji wa huduma bora kwa wagonjwa wenye matatizo mbalimbali
Hospitali ya Jiji Arusha inatoa huduma bora ya Mionzi kwa kuzingatiwa viwango vya hali ya juu vya utaalamu
Wataalamu wetu wa Famasi wapo tayari kukuhudumia kwa kuzingatia huduma ya kiwango cha hali ya juu. Hivyo, wagonjwa wenye matatizo mbalimbali wanapatiwa huduma ya Matibabu inayostahili
Timu ya Hospitali ya Jiji Arusha inakutakia Kheri ya Siku ya Kuzaliwa Yesu
Chanjo ya Polio kwa Watoto chini ya Miaka 5, Kuanzia Tar 27 - 30 Agosti,2026
Tahadhari dhidi ya maamuzi ya Ugonjwa wa Ebola
Tafadhali Jaza Taarifa zinazohitajika hapo chini kufanya Miadi na Daktari
Ndani ya Hospitali ya Jiji Arusha, kuna matukio mbalimbali yanayotokea yakihusisha zoezi zima la utoaji wa huduma bora ya Afya kutoka kwa wataalamu wetu wabobezi kama ifuatavyo
Peruzi Zaidi
Peruzi Zaidi
Peruzi Zaidi
Peruzi Zaidi
Peruzi Zaidi
Peruzi Zaidi
Peruzi Zaidi
Peruzi Zaidi
Peruzi Zaidi
Peruzi Zaidi
Peruzi Zaidi
Peruzi Zaidi
Peruzi Zaidi
Peruzi Zaidi
Peruzi Zaidi
Peruzi Zaidi
Peruzi Zaidi
Peruzi Zaidi
Peruzi Zaidi
Peruzi Zaidi
Peruzi Zaidi
Peruzi Zaidi
Peruzi Zaidi
Peruzi Zaidi
Peruzi Zaidi
Peruzi Zaidi
Peruzi Zaidi
Peruzi Zaidi
Peruzi Zaidi
Peruzi Zaidi
Peruzi Zaidi
Peruzi Zaidi
Peruzi Zaidi
Peruzi Zaidi
Peruzi Zaidi
Peruzi Zaidi