Comments

2 Comments on Healthy environment...

  • John Urassa
    | Posted April 7, 2026

    Hospitali yangu pendwa, maboresho madogo yangepaswa kufanyika na serikali ili kuifanya Hospitali iwe ya kitalii hata kwa wageni kutoka nje ya Tanzania

  • Anastazia Karim
    | Posted June 7, 2026

    Asanteni Madaktari, wauguzi na wataalamu wote wa Afya katika majukumu yenu ya kila siku. Mwenyezi Mungu azidi kuwabariki kwa kazi nzuri kwa jamii

Write a comment

Our Partners